Viongozi wa makanisa nchini Kenya washinikiza uchaguzi mpya ufanywe ili kumchagua kiongozi atakayewajibika kwa wananchi.
Shinikizo hizo zimetolewa na Baraza la Makanisa nchini Kenya, NCCK.
Kutoka Nairobi Mwandishi wetu, Alfred Kiti, ametuandalia ripoti ifuatayo.