1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bajeti ya Kenya yawasilishwa mapem

Lilian Mtono
30 Machi 2017

Bajeti ya mwaka 2017/2018 nchini Kenya yawasilishwa mapema tofauti na miaka mingine, kutokana na uchaguzi utakaofanyika mwezi Agosti. Je, hatua hiyo huenda ikaleta athari zozote huku kukiwa na kitisho cha ukame na mfumuko wa bei?

https://p.dw.com/p/2aJNh

DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya uchumi mjini Nairobi, Frederick Mweni kutaka kujua iwapo kutakuwa na athari zozote kutokana na bajeti hiyo kuwasilishwa mapema.