BAGHDAD: Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa nchini Iraq. | Habari za Ulimwengu | DW | 20.01.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa nchini Iraq.

Majeshi ya Marekani nchini Iraq yamearifu askari wake watatu wameuawa kwenye mashambulio tofauti nchini humo.

Askari mmoja aliuawa kwenye mripuko wa bomu lililotegwa kando ya barabara kaskazini mwa Baghdad, ilhali askari mwengine aliuawa katika jimbo la Anbar.

Wakati huo huo taarifa zinasema wanamgambo wamewaua watu sita katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo, akiwemo kanali wa Jeshi la Iraq.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com