BAGHDAD: Shambulio la bomu Irak limeua wanane | Habari za Ulimwengu | DW | 09.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Shambulio la bomu Irak limeua wanane

Nchini Irak,bomu lililotegwa ndani ya gari, limeripuka Kerbala,mji mmojawapo ulio takatifu kwa Washia.Si chini ya watu 8 wamefariki na 30 wengine wamejeruhiwa.Polisi inasema,mripuko huo ulitokea nje ya jengo takatifu la Al-Abbas.Mji wa Kerbala upo kama kilomita 80 kusini ya mji mkuu Baghdad.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com