BAGHDAD: Kiongozi wa tawi la Al-Qaeda auawa nchini Irak
Jeshi la Marekani limesema kuwa limemuua kiongozi wa tawi la mtandao wa kigaidi Al Qaeda nchini Irak.Kwa mujibu wa wakuu wa kijeshi wa Kimarekani mwanamgambo huyo ni Abu Taha.Inadhaniwa kuwa Taha aliwapenyeza Iraq wapiganaji wa kigeni.
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com