Baada ya Durban, dunia itarajie nini? | Masuala ya Jamii | DW | 28.12.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Baada ya Durban, dunia itarajie nini?

Mwaka 2011 utakumbukwa kwa mengi, ukiwemo mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na mabadiliko ya hali ya hewa ulimwenguni uliofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, ingawa bado suali linabakia pale pale: nini kinafuatia?

Alama ya mkutano wa Durban

Alama ya mkutano wa Durban

Sudi Mnette anauhakiki mkutano wa mazingira uliondaliwa na Umoja wa Mataifa na kufanyika Afrika Kusini mwishoni mwa mwaka 2011, akijaribu kuangalia hatua zinazofuatia baada ya mkutano wenyewe.

Makala: Baada ya Durban, dunia itarajie nini?
Mtayarishaji: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 28.12.2011
 • Mwandishi Sudi Mnette
 • Mada Zinazohusiana Mazingira
 • Maneno muhimu Mazingira
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13aaN
 • Tarehe 28.12.2011
 • Mwandishi Sudi Mnette
 • Mada Zinazohusiana Mazingira
 • Maneno muhimu Mazingira
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13aaN