Azimio dhidi ya Syria | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 05.10.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Azimio dhidi ya Syria

Urusi na China ziliungana hapo jana kupinga rasimu ya mataifa ya Ulaya ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataifa, linaloashiria kuwa huenda Syria ikakabiliwa na vikwazo iwapo itaendelea na ukandamizaji

default

Baraza la usalama la Umoja wa mataifa

Azimio hilo lilipokea kura 9 za kuliunga mkono na wanachama wanne walikataa kupiga kura.

Walid Al-Moualem syrischer Außenminister vor den UN in New York

Waziri wa mambo ya nje wa Syria Walid Al-Moualem

Urusi na China zilikuwa ni wanachama wa pekee waliopiga kura ya kupinga azimio hilo lililoandikwa na Ufaransa kwa ushirikiano na Uingereza, Ujerumani na Ureno.

Mataifa ya Ulaya yalipendekeza azimio ambalo litatishia kuchukuliwa hatua zilizolengwa iwapo rais Bashar al Assad hatositisha msako wake mkali katika muda wa siku 30.

Mwandishi Maryam Abdalla/dpa ap rtr afp

 • Tarehe 05.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12ljP
 • Tarehe 05.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12ljP

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com