1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari ya kutumia simu barabarani

15 Juni 2018

Kipindi hiki kinajadili tabia mbaya ya kuchukiza na kuhatarisha maisha ya vijana, kuzungumza na simu au kujibu ujumbe mfupi wakati wanapoendesha gari. Tabia nyengine ya kuchukiza ni ile ya kuchukua picha au selfie na kuiweka katika mitandao ya kijamii. Je kijana unafahamu athari ya kufanya hilo? Sikiliza kipindi cha vijana mchaka mchaka nae Amina Abubakar

https://p.dw.com/p/2ze2D