1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asili ya Afrika: Cheikh Anta Diop

Oumilkheir Hamidou
27 Machi 2018

Mtaalamu wa sayansi ya viumbe, mwanahistoria, mtaalam wa fizikia ya nyuklia na pia mtaalam wa lugha, Sheikh Anta Diop wa Senegal ameweka msingi wa maandishi ya historia ya Afrika iliyojikomboa hatimae na dhana za kibaguzi.

https://p.dw.com/p/2v5AZ