1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Alama unazowacha mtandaoni

17 Novemba 2016

Unapotumia mitandao ya kijamii au hata mtandao wa kawaida, huwa unawacha alama zako kwenye majukwaa hayo na ambazo huwa zinasalia huko kwa muda mrefu na pengine hata milele. Je, tahadhari gani unapaswa kuichukuwa katika matumizi ya mitandao? Wasikilize vijana wenzako kwenye mjadala huu wa Vijana Tugutuke.

https://p.dw.com/p/2Sp03