Kazi ya uokoaji bado inaendelea katika meli iliyozama huko Zanzibar, ikiwa hadi sasa watu sita ndio wanaotambulika kuwa wamekufa maji.
Bandari ya Zanzibar
Je kazi hiyo inaendeleaje , Sekione Kitojo alipata fursa ya kuzungumza na waziri wa nchi ofisi ya waziri kiongozi Hamza Hassan Juma, ambaye alimfahamisha hatua zilizokwisha chukuliwa.
Mwandishi: Sekione Kitojo
Mhariri: Mohamed Abdulrahman