1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Agiza bodaboda kwa kutumia app

Sylvia Mwehozi6 Februari 2018

Mwanzoni wakati usafiri wa bodaboda ulipoanza, ulidharaulika sana. Miaka michache baadaye usafiri huu umekuwa ni chanzo kikubwa cha ajira kwa vijana wengi katika miji mikubwa karibu yote Afrika Mashariki. Nchini Kenya usafiri huo unaonekana kuingia katika kiwango cha juu baada ya kuzinduliwa kwa App ya Juu Boda, kufahamu mengi tafadhali ungana na Sylvia Mwehozi katika Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/2sBfM