1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya ya Mwanamuziki maarufu Tabu Ley wa DRC si nzuri

23 Julai 2008

Taarifa iliotufikia kutoka Kinshasa inaelezea kwamba Mwanamuziki wa Kongo TabuLey ROCHEREAU yuko katika hali mahututi baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo siku tatu zilizopita.

https://p.dw.com/p/EiAn

Hali hiyo imemfika wiki moja tuu baada ya kutunukiwa tuzo la mwanamuziki bora wa karne kutoka Afrika na CARIBBEAN kufuatia tamasha kubwa lililofanyika nchini CUBA Latin Amerika.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.