Afya – Kipindi 7 – Kuwahudumia wagonjwa16.03.201116 Machi 2011Bweni ya Mandela imegeuka kuwa jalala. Hakuna hata mmoja mwenye kutilia maanani usafi wa nyumba wala usafi binafsi. Ndio maana Jimmy anaumwa. Nini unachotakiwa kukifanya iwapo rafiki yako mkubwa anaumwa?https://p.dw.com/p/QpNVMatangazo