1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Afrika yapoteza utamaduni wa kufanya mazungumzo?

Utaratibu wa kuyazungumza masuala yake vikaoni ulioanza chini ya miti na ambao ulifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kusuluhisha migogoro kabla haijageuka mapigano na vita sasa unapotea barani Afrika. Kwa nini?

Vibanda katika baadhi ya vijiji vya Afrika.

Vibanda katika baadhi ya vijiji vya Afrika.

Eric Ponda anazungumzia utamaduni unaojuilikana kwa jina la Dhome, katika pwani ya Kenya, ambao huwakutanisha wazee pamoja kwa mijanili ya kutatua migogoro kwenye jamii. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji: Eric Ponda
Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada