Adhabu ya kifo yawasubiri waganda 10 nchini China kwa madawa wa kulevya
5 Julai 2007Matangazo
Waganda hao wakiwemo wanawake watatu walikamtwa mwezi uliopita nchini China wakiwa na zaidi ya kilogram moja na nusu ya madawa hayo ya kulevya.
Zaidi kuhusu kisa hicho anatusimulia Omar Mutasa kutoka Kampala.