1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Accra yetu

27 Februari 2018

Tunakwenda mji wa Accra leo, Mji Mkuu wa Ghana. Unaweza kufikiri mji huo wenye joto si mji wa mazoezi au michezo lakini Bernice Asiedu analifanyia kazi suala hilo. Anatumia sehemu zilizotelekezwa katika mji huo kutoa mafunzo ya michezo.

https://p.dw.com/p/2tOIy