3o wauwawa -mripuko Iraq
30 Desemba 2006Matangazo
KUFA:IRAQ:
Masaa tu baada ya kunyongwa kwa rais wa zamani wa Iraq Saddam Hussein, bomu kali liliripuka katika soko la samaki la mji wa Kufa unaokaliwa zaidi na washiia na kuua watu 17 na kuwajeruhi wengine 25.Maafisa wa usalama mjini Baghdad wanakisia kuwa idadi ya waliofariki katika mripuko huo yaweza kufikia 30 na wengine 45 wamejeruhiwa.