Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe magufuli wameahidi kufufua uhusiano wa jadi kati ya Kenya na Tanzania ili kuimarisha biashara // Mgogoro wa diplomasia baina ya Rwanda na Ufaransa unazidi kutokota// Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Afrika Kusini, Shaun Abrahams amemfutia mashtaka ya udanganyifu Waziri wa Fedha wa nchi hiyo, Pravin Godhan.