1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.03.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S31 Machi 2017

Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa jumuiya ya kujihami ya NATO wanakutana mjini Brussels// Uongozi wa kijeshi magharibi mwa Rwanda umewakamata, kuwapiga na kuwatishia watu waliopinga uamuzi wa hivi majuzi wa Serikali wa kuwaondoa kwa nguvu raia kwenye ardhi zao.

https://p.dw.com/p/2aTKv