Mji wa London hautokuwa tena mji mkuu wa kifedha wa Umoja wa Ulaya , pindi Uingereza itakapojiondoa katika Umoja huo// Msaidizi wa karibu wa kiongozi wa kundi la waasi la Lord's Resistance Army, LRA Joseph Kony, Michael Omona amejisalimisha katika jeshi la Uganda.