1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.11.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S30 Novemba 2017

Umoja wa ulaya na Afrika wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nyanja muhimu ikiwa ni pamoja na uhamiaji; usalama, pamoja na uwekezaji katika elimu na maendeleo endelevu// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel atafanya mazungumzo ya kwanza leo na mwenyekiti wa chama cha Social Democratic SPD, Martin Schulz katika juhudi za kuunda serekali ya muungano.

https://p.dw.com/p/2oYv7