1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.11.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S30 Novemba 2016

Wanachama wa shirika la nchi zinazosafirisha mafuta ulimwenguni-OPEC wanaendelea na mashauariano kabla ya mkutano wa leo// Wataalamu, watendaji wa sekta binafsi pamoja na kundi la Vijana kutoka nchi za Afrika mashariki wametaja kushamiri kwa vitendo vya rushwa kwa mataifa ya eneo hilo na kuwa kikwazo kikubwa cha kukua kwa biashara na uchumi.

https://p.dw.com/p/2TUrr