1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.06.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S30 Juni 2017

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekubaliana kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya wanajeshi wa kulinda amani katika jimbo la Darfur nchini Sudan// Umoja wa Mataifa leo umeikosoa serikali ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kwa kupunguza madaraka ya mwendesha mashtaka mkuu// Ujerumani imesema ipo tayari kuisaidia Tanzania katika maendeleo ya kiuchumi kupitia makampuni na sekta binafsi.

https://p.dw.com/p/2fihQ