1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.01.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Januari 2018

Kiongozi wa Muungano Mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ameapishwa leo katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi kuwa rais wa wananchi// Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema raia wa Syria wanapaswa kushikamana na kuwa na maono ya pamoja juu ya mustakabali wao wa baadaye ili kukabiliana na mgogoro unaoendelea nchini mwao.

https://p.dw.com/p/2rmVY