1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.01.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S30 Januari 2018

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga anatarajiwa kuapishwa leo asubuhi kuwa Rais wa Kenya// Kuzinduliwa kwa soko la pamoja la usafiri wa anga barani afrika ni miongoni mwa hatua iliofikiwa kwenye mkutano wa kilele wa 30 wa viongozi wa nchi za umoja wa afrika// Rais wa shirikisho la jamhuri ya Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier anaendelea na ziara yake ya siku nne mashariki ya kati.

https://p.dw.com/p/2rk72