1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S29 Novemba 2016

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeituhumu Uganda kwa mauaji huko Kasese// Willy Nyamitwe, Mshauri mkuu wa rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, ameponea chupu chupu jaribio la kuuwawa// Baadhi ya makumpuni makubwa ya kigeni yaliyowekeza nchini Tanzania yamesema huenda yakafikiria kupunguza au kusitisha shughuli zao kwa sababu ya masharti magumu.

https://p.dw.com/p/2TRBy