1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.11.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S29 Novemba 2016

Uwezekano wa kumuona Francois Fillon anakuwa rais wa Ufaransa unazusha wasi wasi kidogo nchini Ujerumani// Serikali ya Tanzania imetangaza kubadilisha utaratibu uliokuwa ukitumika hapo awali wa kujiunga na elimu ya chuo kikuu// Barani Afrika, kilimo kinakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo kampuni za kigeni ambazo huleta mbegu zilizobadilishwa vinasaba, maarufu kama GMO.

https://p.dw.com/p/2TQaC