1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.09.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S29 Septemba 2017

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana Tallinn, mji mkuu wa Estonia kuzungumzia "mfumo wa digitali", mada inayopewa umuhimu mkubwa na ambayo inatishiwa kugubikwa na mjadala moto moto uliotokana na mapendekezo ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu mustakbal wa Umoja huo.

https://p.dw.com/p/2kyUj