1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.09.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S29 Septemba 2016

Urusi imesema inaendelea mbele na kampeni yake ya mashambulizi nchini Syria/ Serikali ya Zanzibar limefanya mabadiliko ya katiba yake ili kutoa uwezo kwa Rais wa Zanzibar kufanya uteuzi wa wajumbe bila kushauriana na kiongozi wa kambi ya upinzani ndani ya baraza la wawakilishi/ Mwanaharakati wa upinzani nchini Rwanda anaripotiwa kutoweka kwa miezi sita na mpaka sasa hajulikani alipo

https://p.dw.com/p/2QkIO