1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S29 Juni 2017

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amesema ulimwengu hauwezi kurudi nyuma wala kuyajadili kwa mara ya pili Makubaliano ya Paris kuhusiana na tabia nchi// Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in huenda wakawa na msimamo wa pamoja kuhusu Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2fcmk