1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.06.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S29 Juni 2017

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamesema kwamba watashirikiana kutia msukumo kuhusu mtizamo wao juu ya mabadiliko ya tabia nchi// Umoja wa Mataifa umekubali kupunguza bajeti ya kikosi cha kulinda amani cha umoja huo kwa karibu Dola milioni 600, baada ya wiki kadhaa za majadiliano.

https://p.dw.com/p/2fejO