Nchini Kenya Gavana wa kaunti ya Mombasa Ali Hassan Joho ambaye amejitokeza kuwa mpinzani mkali wa Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta, amefika katika makao makuu ya idara ya upelelezi// Rais wa Marekani Donald Trump jana Jumanne ametia saini amri ya kubatilisha sheria zilizowekwa na rais aliyemtangulia Barack Obama za kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa.