1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S28 Novemba 2016

Watu 60 wameuwawa Kasese, Uganda// Shirika la kutetea haki za binadamu Syria limesema waasi wa Syria wamelipoteza eneo lote la kaskazini mwa Aleppo// Francois Fillon ameshinda uchaguzi wa mchujo wa chama cha mrengo wa kulia cha Ufaransa Les Republicains// Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tuhuma za kukiukwa sheria za uchaguzi nchini humo.

https://p.dw.com/p/2TMei