1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.10.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S28 Oktoba 2016

Wapiganaj i wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS nchini Iraq wamewateka maelfu ya wanaume// Waasi nchini Syria, ikiwa ni pamoja na wapiganaji wa jihad leo hii wameanzisha mashambulizi// Huku akilenga kupata ufanisi mkubwa dhidi ya kampeni za urais za mpinzani wake Donald Trump, Hillary Clinton amemgeukia mkewe Rais Obama, Michelle, kumfanyia kampeni katika eneo la North Carolina.

https://p.dw.com/p/2Rr1n