1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.09.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Septemba 2016

Papa Francis amelaani hujuma za mabomu dhidi ya mji wa Aleppo nchini Syria akisema wahusika watalazimika kujieleza mbele ya Mungu/ Tanzania: Mvutano ndani ya Chama cha CUF unagukuta bado> Prof. Lipumba amezungumza na waandishi wa habari kwamba atabakia kuwa mwenyekiti wa mwanachama halali wa chama hicho/ Somalia: Mwandishi habari aliiuawa

https://p.dw.com/p/2QhoH