1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.05.2017: Matangazo ya Mchana

28 Mei 2017

Rais wa Marekani, Donald Trump azungumzia nia yake ya kuiondoa Marekani kwenye mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani, mshauri mwandamizi wa Ikulu ya Marekani Jared Kushner aelezwa kuruhusu kuundwa kwa mkondo wa mawasiliano na Urusi na China yapinga madai ya Marekani kuhusiana na uvamizi wa ndege yake.

https://p.dw.com/p/2dhsF