1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.05.2017: Matangazo ya Jioni

Lilian Mtono
28 Mei 2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameitaka Ulaya kutathmini wenyewe hatma yao, badala ya kuwategemea wengine, Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema atapuuza bunge na mahakama ya juu nchini mwake atakapotekeleza sheria ya kijeshi na rais Donald Trump wa Marekani aeleza nia ya kuiondoa Marekani kwenye mkataba wa kimataifa wa hali ya hewa

https://p.dw.com/p/2diRT