1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.03.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S28 Machi 2017

Mazungumzo ya kitaifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kati ya serikali na upinzani yaliyokuwa yatiwe saini jana usiku yamekwama, huku Kanisa Katoliki likitangaza kujiondoa kuwa mpatanishi katika mazungumzo hayo// Mwanaharakati mashuhuri wa Afrika Kusini aliyepambana dhidi ya siasa za ubaguzi wa rangi na mtengano-Apartheid, Ahmed Kathrada, amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 87.

https://p.dw.com/p/2a8RZ