1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.03.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S28 Machi 2017

Donald Trump alifanya kampeni kama mtu wa nje anayesherehekea ukosefu wa uzoefu wa kisiasa huku akijinadi kama mwanamipango anayetaka kuijenga upya Marekani peke yake// Usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake ni miongoni mwa malengo ya maendeleo endelevu 17 yaliyoundwa kukabiliana na umasikini, na kukosekana kwa usawa na mabadiliko ya tabianchi ifikapo mwaka 2030.

https://p.dw.com/p/2a63b