1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.02.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S28 Februari 2017

Rais mpya wa Marekani Donald Trump atahutubia kwa mara ya kwanza leo usiku bunge la Congress// Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte hii leo ameiomba radhi Ujerumani kufuatia Ufilipino kushindwa kumuokoa mateka wa Ujerumani aliyekatwa kichwa na wanagambo wa kundi la itikadi kali// Ugiriki na wakopeshaji wake leo wameanza mazungumzo yao yaliokwama kwa muda mrefu kuhusu mageuzi

https://p.dw.com/p/2YOdj