1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.11.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S27 Novemba 2017

Nchini Tanzania hapo jana kulifanyika uchaguzi wa marudio katika kata 43// Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amewasili nchini Myanamr leo// Yemen imepokea shehena ya kwanza ya msaada wa chakula jana Jumapili// Waziri Mkuu wa Canada ameomba radhi kwa watu wa "taifa la kwanza" katika jimbo la Newfoundland na Labrador.

https://p.dw.com/p/2oK0A