Mazungumzo ya kutafuta amani katika taifa la Burundi yameanza tena jijini Arusha nchini Tanzania// Maandalizi ya kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta hapo kesho kwa muhula wa pili yamekamilika huku marais kutoka mataifa 11 wakithibitisha kuhudhuria hafla hiyo// Zimesalia siku tatu kwa dunia kuadhimisha siku ya Ukimwi.