1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.10.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Oktoba 2017

Kenya-Mwandamanaji mmoja ameuwawa kwa kupigwa risasi na polisi Katika kaunti ya Bungoma Magharibi mwa Kenya kwenye vurugu zinazoendelea wakati wakenya wakiendelea kusubiri matokeo ya urais kutoka kwa mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Wafula Chebukati// Serikali ya Burundi imeidhinisha muswada wa sheria unaoruhusu kuandaliwa kwa rasimu ya katibu.

https://p.dw.com/p/2mdcS