1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.09.2016 Taarifa ya Habari Asubuhi

27 Septemba 2016

Hillary Clinton na Donald Trump wakabiliana katika mdahalo wa kwanza wa urais Marekani/Serikali ya Colombia na FARC wasaini makubaliano ya amani/Kiongozi wa waasi Sudan Kusini Riek Machar amemshutumu Rais Salva Kiir kwa kutaka kuigeuza nchi kuwa "taifa la kikabila"

https://p.dw.com/p/2QcbH