1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.09.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Septemba 2016

Mgogoro ndani ya chama cha CUF: Kikao cha baraza kuu la uongozi taifa wa chama hicho kimeamua kumfuta kabisa uanachama aliyekuwa Mwenyekiti, Prof. Lipumba/Dar es Salaam: Jeshi la polisi kanda maalum linawashikilia wanachama wa CUF kutoka Zanzibar kwa tuhuma za kutaka kufanya uhalifu katika makao makuu/Burundi:Jukumu la wapatanishi na viongozi wa dini katika kusuluhisha mizozo ya kikabila na kidini

https://p.dw.com/p/2Qelv