1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.07.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Julai 2017

Tunaanzia nchini Tanzania ambapo spika wa bunge Job Ndugai ameukubalia uamuzi wa kutimuliwa wabunge wanane wa chama cha CUF wenye viti maalum// Ni siku 11 zimesalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini Kenya, na sasa kundi la watu walio na ulemavu wanaelezea hofu ya kuachwa nje katika mchakato huu.

https://p.dw.com/p/2hEkK