1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.07.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Julai 2017

Hali ya mambo ndani ya chama cha CUF nchini Tanzania imezidi kuwa mbaya// Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi Michel Kafando amesema sharti la kuweka mazingira ya amani nchini humo ni kwa serikali kufanya majadiliano shirikishi yanayowahusisha wapinzani// Wapalestina wamemaliza mgomo wao na kuingia katika eneo takatifu la Jerusalem kwa mara ya kwanza baada ya wiki mbili za vurugu.

https://p.dw.com/p/2hGlU