1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.06.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Juni 2017

Urusi imelishutumu onyo lililotolewa na Marekani kwa uongozi wa Syria kwamba utalipa gharama kubwa kwa shambulio lolote lile la silaha za sumu itakalofanya// Aliekuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Edward Lowasa ambaye leo aliitwa na Mkurugenzi wa makosa ya jinai ili kuhojiwa, ameyapongeza magazeti yalioandika juu ya hotuba yake.

https://p.dw.com/p/2fVDZ