1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.05.2017 Matangazo ya Jioni

27 Mei 2017

https://p.dw.com/p/2dgWZ

Miongoni mwa yaliyomo:

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema mazungumzo ya mkataba wa Paris hayakuridhisha

Wakuu wa G-7 wahimizwa kumaliza machafuko ya Libya

Uingereza yapunguza tahadhari ya shambulizi kutoka hali ya "juu zaidi" hadi hali ya "juu"

Misri yaendeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Libya huku kundi la IS likidai ndilo liliwashambulia waumini wa Kikristo